Ofisa Uhusiano wa Mfuko wa PSPF, Abdul Njahidi (kulia) akiwaonesha
baadhi ya wawakilishi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa
Clouds FM baadhi ya tuzo walizozitwaa kutokana na huduma bora wanazozitoa
kwa wateja wao. Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa PSPF, Adam Mayingu (mbele) akizungumza wakati baadhi ya
wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea ofisi hizo jijini Dar
es Salaam. Wengine ni baadhi ya maofisa wa PSPF. Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF, Neema Muro (kulia)
akizungumza wakati baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network
walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es Salaam Baadhi ya wanachama wa Tanzania
Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM wakiwa mkutanoni na
maofisa wa mfuko wa PSPF wakati walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es
Salaam. Mkurugenzi wa Uendeshaji
PSPF, Neema Muro (kulia) akizungumza wakati baadhi ya wanachama wa Tanzania
Bloggers Network walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es Salaam. Wengine ni
baadhi ya maofisa wa PSPF Mkutano kati
ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN), watangazaji wa Clouds FM
pamoja na maofisa wa mfuko wa PSPF ukiendelea. Mmoja wa maofisa wa mfuko
wa PSPF akitoa ufafanuzi Wakati baadhi ya wawakilishi wa Tanzania Bloggers
Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM walipotembelea makao makuu ya
ofisi hizo jijini Dar es Salaam Mkutano kati
ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN), watangazaji wa Clouds FM
pamoja na maofisa wa mfuko wa PSPF ukiendele Ofisa Uhusiano wa Mfuko wa PSPF, Abdul Njahidi (kulia) akiwaonesha
baadhi ya wawakilishi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa
Clouds FM baadhi ya tuzo walizozitwaa kutokana na huduma bora wanazozitoa
kwa wateja wao. Baadhi ya wanachama wa Tanzania
Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM wakiwa mkutanoni na
maofisa wa mfuko wa PSPF wakati walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es
Salaam Baadhi ya
wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM
wakiwa kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa kisasa kupata
maelezo namna kumbukumbu za wanachama zinavyohifadhiwa. Mmoja wa watangazaji kutoka Clouds FM,
Gerald Hando akiuliza swali kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa
mfumo wa kisasa kupata maelezo namna kumbukumbu za wanachama
zinavyohifadhiwa. Mkurugenzi wa
Uendeshaji PSPF, Neema Muro (kushoto) akitoa ufafanuzi wakati baadhi ya
wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea ofisi hizo jijini Dar
es Salaam. Wengine ni baadhi ya maofisa wa PSPF.
Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa
Clouds FM wakiingia kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa
kisasa.
Baadhi ya
wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM
wakiwa kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa kisasa kupata
maelezo namna kumbukumbu za wanachama zinavyohifadhiwa. Baadhi ya
wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM
wakiwa kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa kisasa kupata
maelezo namna kumbukumbu za wanachama zinavyohifadhiwa Baadhi ya wanachama wa Tanzania
Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM wakiwa katika moja ya
jengo refu kupita yote nchini Tanzania ambalo limejengwa kama kitega uchumi
na mfuko wa PSPF, jengo hilo lina eneo maalumu la shughuli za biashara na
makazi Baadhi ya wanachama wa Tanzania
Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM wakiwa katika moja ya
jengo refu kupita yote nchini Tanzania ambalo limejengwa kama kitega uchumi
na mfuko wa PSPF, jengo hilo lina eneo maalumu la shughuli za biashara na
makazi. Muonekano wa
taswira ya jiji la Dar es Salaam ukiwa katika jengo refu kupita yote nchini
Tanzania ambalo limejengwa kama kitega uchumi na mfuko wa PSPF, jengo hilo
lina eneo maalumu la shughuli za biashara na makazi. Muonekano wa
taswira ya jiji la Dar es Salaam ukiwa katika jengo refu kupita yote nchini
Tanzania ambalo limejengwa kama kitega uchumi na mfuko wa PSPF, jengo hilo
lina eneo maalumu la shughuli za biashara na makazi