Picha za mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Kaimu Katibu Mkuu John
Mnyika leo jioni Musoma, Uwanja wa Mkendo baada ya asubuhi kuzindua
mafunzo ya timu za kampeni, viongozi wa chama na viongozi wa serikali za
mitaa kwa kanda ya Serengeti (Mara, Simiyu na Shinyanga), ikiwa ni
sehemu ya maandalizi ya kushinda dola na kuongoza serikali, kama
yalivyozinduliwa kitaifa na Mwenyekiti wa Taifa hivi karibuni jijini Dar
es Salaam.
mnyika akishabikiwa na wananchi
picha ni sehemu ya wananchi waliouthuria mkutano huo