WAsanii wa mziki wa dance wanatarajia
kutua mkoani kilimanjaro wilayani hai juma pili hii ya tarehe 5 kwa
ajili ya kufanya show ya kufa mtu katika ukumbi wa flomena uliopo
wilayani hai , katika show hiyo kutotakuwa na burudani mbalimbali
ikiwemo nyimbo mbalimbali za wasanii hao ,mpaka sasa tiketi za show
hiyo zinapatikana katika ukumbi huo wa flomena,duka la nguo la swaum
fashion lililopo arusha