Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrishi Kikwete akitoa heshima zake za
mwisho kwa mwili wa Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu)
aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye alifariki jana
asubuhi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mazishi yake
yanatarajiwa kufanyika kesho huko Morogoro.
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa
Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu) aliyekuwa mkuu wa
Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye alifariki jana asubuhi katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika
kesho huko Morogoro.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrishi Kikwete akifariji mjane wa marehemu
baada ya kutoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Luteni
Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu) aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Kyerwa
mkoani Kagera ambaye alifariki jana asubuhi katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili. Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika kesho huko Morogoro.