Mbunge wa
Nzega, Hamisi Kingwangala akiuliza swali Bungeni mjini Dodoma.
Wabunge
wakitoka Bungeni jana baada ya Bunge kuahirishwa kwa muda.
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Mchemba akijibu
maswali Bungeni yaliyoelekezwa katika wizara hiyo
Mbunge wa Viti Maalum, Rita Kabati (kulia) akiwa
na Mbunge mpya wa kuteuliwa, Dk Grace Puja Bungeni mjini Dodoma
Mbunge wa
Ubungo, John Mnyika (kushoto) akitoka Bungeni jana na mbunge mwenzake wa Iringa
mjini, Mchungaji Peter Msigwa.
Wabunge wa kutoka kulia, Mbunge wa Muhambwe,
Felix Mkosamali, Ezechiel Wenje na Mbunge wa Ngara, Deogratius Ntukamazima
wakimpongeza Mbunge mpya wa kuteuliwa, Innocent Sebba baada ya kula kiapo
Bungeni mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta jambo na
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia Bungeni mjini
Dodoma
Wabunge na Mawaziri mbalimbali wakifuatilia
mijada ya Bunge, Bungeni mjini Dodoma jana.