|
Lowassa out Top 5. |
|
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Mhe. Mgeja. |
|
Mama Zakia Meghji. |
|
Vijana wakipongezana Ngeleja out (L) Makamba in (R) kwenye Top 5. |
|
|
Mhe. Ngeleja akubali maamuzi ya Kamati kuu akisema asiyekubali kushindwa si mshindani. |
|
|
M-NEC
toka wilaya ya Tarime Mhe. Gachuma (wa pili kulia) naye huko mjini
Dodoma kuwakilisha akiwa na wajumbe wenzake toka maeneo mbalimbali
nchini. |
|
Wagombea
Urais walioingia katika hatua ya tano bora, ni
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje, Mh. Bernard Membe, Waziri wa Ujenzi,
Dkt. John Magufuli, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha-Rose Migiro,
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mh. January Makamba
pamoja na Balozi Amina Salum Ali. Majina hayo yanapelekwa kwenye Mkutano
wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kujadiliwa na kupatikana matatu
yatakayopelekwa kwenye Mkutano Mkuu na kupatikana moja ambaye ndie
atakuwa Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM.
|
Wassira out Top 5. |
MARA
baada ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (CC-NEC) ilipotoa
orodha ya
wagombea watano na baadhi ya majina makubwa yaliyokuwa yakitawala
kwenye, vyombo vya habari, mitandao na vinywa vya watu wengi kubwagwa,
kama vile jina la Mhe. Edward Lowassa, Mhe. Waziri Mkuu Pinda na
wengineo hii ndiyo taswira ya mji wa Dodoma hii leo.