hawa ndio majaji wetu wa mwaka huu wa shindano hili la BSS AUDITIONS linaloendelea kufanyika wa kwanza kulia ni Madam Ritha katikati ni masta J akiwa na dada yetu Salama ndani ya ukumbi wa triple A
vijana wengi walijitokeza kwa wingi kuonyesha uwezo wao
arusha bwana ni balaa kwa jina lingine wanapaita r-chuga ni shida