Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Abdalla Bulembo wa kwanza kushoto
Mbunge wa Kikwajuni Mhe Hamad Masauni na Kada wa CCM Abass Bahari
wakijiandaa kuelekea kukagua timu hizo wakati wa Bonaza hilo linaloendelea
katika viwanja vya Mnazi Mmoja usiku kwa micxhezo miwi kila siku.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Mhe Abdalla Bulembo akisalimiana na
wachezaji wa timu ya Muembeladu kabla ya kuaza kwa mchezo huo wa Bonaza
katika viwanja vya mnazi mmoja Zanzibar, Bonaza hilo limedhaminiwa na
Mbunge wa Kikwajuni kuinua vipaji vya Vijana katika mchezo wa Soka
Zanzibar.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Mhe
Abdalla Bulembo akisalimiana na wachezaji wa timu ya Rahaleo,kabla ya kuaza
kwa mchezo huo wa Bonaza katika viwanja vya mnazi mmoja Zanzibar, Bonaza
hilo limedhaminiwa na Mbunge wa Kikwajuni kuinua vipaji vya Vijana katika
mchezo wa Soka Zanzibar. Kikosi cha timu ya Muembeladu kinachoshiriki michezo ya Bonaza la Kombe la Masauni.
Kikosi cha timu ya Rahaleo,kinachoshiriki michezo ya Bonaza la Kombe la Masauni.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Mhe Abdalla Bulembo akizungumza na
wanamichezo wakati wa mchezo wa Bonaza Kombe la Masauni na kuwataja vijana
kukuza michezo ndio mafanikia yao kujipatia ajira, Michezo huleta amani na
utulivu katika nchi. Na kuahidi timu itakayoshinda katika mchezo huo
ataizawadia shilingi laki moja. kwa bahati mbaya timu hizo zimetoka sare na
kukabidhiwa kila moja shilingi 50,000/- baada ya kumalizika kwa mchezo huo
wa sare ya 2--2
Mchezaji wa timu ya Muembeladu akimiliki mpira huku mchezaji wa Rahaleo
akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wa Bonaza Masauni Cup.
Wachezaji wa Rahaleo na Muembeladu wakiwania mpira katika mchezo wa Bonaza
Masauni Cup linalofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja usiku.
Mchezaji wa timu ya Muembeladu akiondoa
mpira.
Wapenzi wa mchezo wa soka Zanzibar wakifuatilia michezo ya Bonaza ya Kombe
la Mbunge wa Kikwajuni Mhe Hamad Masauni. Masauni Cup.Bonaza
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia