WEMA SEPETU AMWAGWA UCHAGUZI WA UBUNGE WA VITI MAALUMU SINGIDA

WEMA SEPETU ASHINDWA UBUNGE WA VITI MAALUMU KUPITIA MKOA WA SINGIDA KWA TIKETI YA CCM BAADA YA KURA ZAKE KUTO TOSHELEZA ,KATIKA UCHAGUZI ULIO FANYIKA LEO HII KULIKUWA NA TAKRIBANI WAGOMBEA 11 AMBAPO KULIKUWA NA NAFASI 2 TU KUTOKA KATIKA MKOA HUO

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post