MKURUGENZI MTENDAJI WA TBL ATEMBELEA VYOMBO VYA HABARI

 Mkurugenzi Mkuu wa Clouds Medi group Joseph Kussaga akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Tanzania Breweries Limited  Roberto Jarrin wakati alipotembelea ofisi za Clouds zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam
 Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Tanzania Breweries Limited,  Roberto Jarrin (kushoto) katika mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa clouds Media group Joseph Kussaga (katikati kwa waliokaa) kulia kwake ni Mkurugenzi wa vipindi wa Clouds Ruge Mutahaba na kushoto ni Mkurugenzi wa Media wa kampuni ya Aggrey&Clifford wakati alipofanya ziara kwenye ofisi za Clouds zilizopo Mikocheni ijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya The Guardian Limited Richard Mgamba (Kushoto) akisalimana na Mkurugenzi mTendai wa kampuni ya Tanzania Breweries Limited (TBL) Roberto Jarrin (kulia) wakati alipotembelea ofisi za kampuni ya The Guardian zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi wa Masoko wa ITV/Radio One, Joyce Luhanga (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Roberto Jarrin (Kulia) wakati alipotembelea ofisi za ITV/Radio One,katikati ni Mkurugenzi mtendaji wa ITV/RADIO One Joyce Mhaville picha na victor joseph

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post