Baadhi ya Wajumbe wa kikao cha
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) (NEC) wakimpongeza Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia),
baada ya kuteuliwa kuingia katika tano bora ya wawania urais katika uchaguzi
mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, kabla ya kuanza kwa kikao cha NEC, katika
ukumbi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma |