Kocha wa timu ya Wizara ya Afya
na Ustawi wa Jamii, Ally Lidengi,
akitoa maelekezo kwa wachezaji wa mchezo wa kamba wakati wa
Maandalizi ya Mashindano ya
Shimiwi katika uwanja wa Taifa Muhimbili Dar es Salaam yanayotarajiwa
kuanza 15 Septembar 2015 Jijini Morogoro.
Kocha wa timu ya Wizara ya Afya
na Ustawi wa Jamii, Ally Lidengi, akitoa maelekezo kwa wachezaji
hao wakati wa Maandalizi ya Mashindano ya Shimiwi katika uwanja wa
Taifa Muhimbili Dar es Salaam yanayotarajiwa kuanza 15 Septembar
2015 Jijini Morogoro.(PICHA ZOTE NA KHAMISI
MUSSA)
--