PRISCUS TARIMO ATANGAZA NIA RASMI YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI

Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Priscus Tarimo akizungumza wakati wa mkutano wake wa na wakazi wa kata ya Kilimanjaro ,katika Manispaa ya Moshi akieleza mammbo mbalimbali aliyotekeleza wakati wa kipindi chake cha Udiwani na kutumia nafasi hiyo kutangaza nia ya kugombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini.
Baadhi ya wakazi wa kata ya Kilimanjaro wakifuatilia hotuba ya Diwani aliyemaliza muda wake wa kata ya Kilimanjaro,Priscus Tarimo wakati wa mkutano wake wa tathmni ulioenda Sanjari na kutangaza nia ya kuwania Ubunge.
Kada wa Chama cha Mapinduzi ,Manispaa ya Moshi ,Mzee Mgonja akizungumza mara baada ya Priscus Tarimo kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Moshi mjini.
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini ,Priscus Tarimo akiwa na mkewe Evelyne Gaudance wakionesha tabasamu wakati wakisikiliza maneno ya kada wa Chama hicho Mzee Mgonja.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post