Mteule
wa Chama cha Mapinduzi 9CCM) katika kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu
utakao fanyika Oktoba 25 mwaka huu, Dk John Pombe Magufuli akihutubia
katika mkutano wa hadhara wa kumtambulisha kwa wananchi wa Dar es Salaam
katika uwanja wa Mbagala Zakhem katika jimbo la Uchaguzi Mbagala,
Wilayani Temeke leo.
Tags
MATUKIO SIASA