WASIMAMIZI, WAHARIRI NA WADADISI WA UTAFITI WA AFYA YA MAMA NA MTOTONA MALARIA WA MWAKA 2015,WAPEWA MAFUNZO
Posted by
woinde
on
Saturday, July 25, 2015
in
Habari
MATUKIO
|
|
Mkurugenzi wa Kinga kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa
Jamii,Neema Rusibamanyila akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya
wasimamizi,wahariri na wadadisi wa utafiti wa afya ya mama na mtoto na
Maralia yanayofanyika kwa siku 36 katika ukumbi wa YMCA mjini
Moshi. |
|
Baadhi
ya wauguzi wanaoshiriki mafunzo hayo yanayofanyika katika ukumbi wa
YMCA mjini Moshi. |
|
Mwakilishi wa Mkurugenzi mkuu wa Ofisi ya Takwimu ,Ephraim
Kwesigabo akizungumza katika ufunguzi wa mafunzo
hayo. |
|
Kutoka
kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya ,Zanzibar Halima
Maulidi Saleh akiwa na ,Mganga mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Andrewleon
Qweker (katikati) na Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar,Hafidh Rajab wakifuatilia ufunguzi wa mafunzo
hayo. |
|
Baadhi
ya washiriki. |
|
Mkurugenzi wa Kinga ,Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Neema
Rusibamanyila akizindua matokeo muhimu ya utafiti wa tathmini ya
utoaji wa huduma za afya nchini Tanzania 2015. |
|
Mkurugenzi wa Kinga ,Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Neema
Rusibamanyila akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya Afya
,Zanzibar Halima Maulid Saleh matokeo muhimu ya utafiti wa
tathmini ya utoaji wa huduma za afya nchini Tanzania
2015. |
|
Mkurugenzi wa Kinga ,Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Neema
Rusibamanyila akimkabidhi Mganga mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro
,Andrewleon Qweker matokeo muhimu ya utafiti wa tathmini ya utoaji wa
huduma za afya nchini Tanzania 2015. |
|
Mkurugenzi wa Kinga ,Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Neema
Rusibamanyila akimkabidhi Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar,Hafidh Rajab matokeo muhimu ya utafiti wa tathmini ya
utoaji wa huduma za afya nchini Tanzania 2015. |
|
Mkurugenzi wa Kinga ,Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Neema
Rusibamanyila akimkabidhi Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa ofisi
ya taifa ya takwimu Ephraim Kwesigabo matokeo muhimu ya utafiti
wa tathmini ya utoaji wa huduma za afya nchini Tanzania
2015. |
|
Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Hafidh Rajab
akitoa neno la shukrani wakati wa ufunguzi wa mafunzo
hayo. |
|
Baadhi
ya washiriki wa mafunzo hayo ambao ni wauguzi kutoka maeneo mbalimbali
nchini. |
|
Na
Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia