Meneja wa Mradi, Mhandisi. Pascal Malesa akiwaonesha timu ya ukaguzi
eneo linalokusudiwa kwa ajili ya mradi wa umeme wa upepo nje kidogo ya mji wa
Singida, mbele yake ni kiongozi wa timu hiyo Mhandisi. Happiness Mgalula,
ambaye ni Naibu Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango
Meneja wa Mawasiliano wa Kampuni ya Wind East Africa Singida Wind Power
Bw. Simon Magesa akionesha jinsi ambavyo kasi ya upepo inavyopimwa katika mnara
wa upepo ambao tayari umewekwa na kampuni yake
Timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo ikiwa chini ya mnara wa kupima
kasi ya upepo katika kijiji cha Iroho, Kata ya Kisaki, Singida mjini. Mnara huo
una urefu wa mita 60