Baadhi ya wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Moshi mjini wakifuatilia mkutano huo. |
Naibu Kamanda wa Vijana wa CCM Manispaa ya Moshi na mjumbe wa NEC ,Edmund Rutaraka akizungumza na wajumbe wa Halmshauri kuu CCM ya wilaya ya Moshi mjini |
Mtia nia Edmund Rutaraka pia ametumia maji ya
kunywa kutangaza Nia yake hiyo baada ya wajumbe wote walioshiriki mkutano
huo kugaiwiwa yakiwa na lebo maalumu yenye maandishi pamoja na picha
yake. |