Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
Kingunge Ngombale,Mwilu (kushoto)
akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam
leo.Kulia ni Msaidizi Mkuu wa Ngombale, Mwilu
Kada
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kingunge Ngombale,Mwilu (kushoto)
akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo
,Kuhusu mkutano mkuu wa chama hicho uliofayika Dodoma hivi karibuni na
mchakato wa kumpata mgombea Urais na changamoto zilizojitokeza (PICHA
ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
--