UZINDUZI WA KAMPENI YA SHAMIRI YA KUSOMESHA WATOTO 112

Meneja Mahusiano shirika  la The Foundation For Tommorow ,Anton
Asukile akifafanua jambo juu ya Kampeni ya SHAMIRI inayolenga
kuchangisha milioni 50 kwa ajili ya kusaidia watoto wanaoishi kwenye
mazingira hatarishi ,kulia ni Meneja Programu wa masuala ya kijamii na
afya Hedwiga na kushoto ni  Hilda Lema (Mfanyakazi).

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post