SALAMU ZA HERI YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANZANIA,KUTOKA NGOMA AFRICA BAND

SALAMU ZA HERI YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANZANIA,KUTOKA                                     NGOMA AFRICA BAND 


Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni yenye makao yake nchini ujerumani inawatakia kila la heri watanzania wote walio nyumbani na nje ,Heri ba na baraka, Amani,Mshikamano na Upendo katika  maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamuhuri yetu ya muungano wa Tanzania.
Tudumishe Muungano wetu daima millele.
           Mungu Ibaraki Tanzania

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

1 Comments:

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia