Salim Ally akiwa na wajukuu zake
wakifurahia mara baada ya babu yao kurejea kutoka jijini dar sehemu
ambayo alikuwa amefungwa kwa kipindi cha miezi kumi
Salimu ally akiwa anakumbatiana na baadhi ya ndugu waliomtembelea nyumbani kwake mara baada ya kuwasili kutoka dar
watoto wa salim Ally wakiwa wanapongezana mara baada ya baba yao kuwasili mkoani arusha