HAYA NDO BAADHI YA MATUKIO YALIYOTOKEA KATIKA SHOO YA JB MPIANA ILIOFANYIKA MKOANI ARUSHA KATIKA VIWANJA VYA TRIPLE A
Wacheza shoo wa bendi ya wenge bcbg wakifanya vitu
wadau wakubwa waliuthuria shoo hiyo akiwemo papa mwandago pamoja na dada viola
Jb aliyevaa nyeusi tupu akiwa amapumzika kusubiri kupanda jukwaani
Picha ya juu na chini Jb mpiana
aliyevaa nyeusi akiwa anacheza mziki na wanenguaji wa wenge bcbg katika
shoo yao iliyofanyika katika ukumbi wa viwanja vya Triple A
Mcheza shoo wa bendi ya jb mpiana akiwapa vitu washabiki waliouthuria unyesho lao
Apa papa nyoshi el sadat wa bendi ya
FM Academia wa kwanza kushoto akiwa na mtangazaji maarufu wa kipindi cha
afro dance Onesmole kinachorushwa na Triple A radio wa kwanza kulia
wakibadilishana mawazo leo hii nyoshi pamoja na kundi zima la Fm
Academia watatumbuiza washabiki wa mkoa wa huu katika ukumbi wa blue
flame uliopo ndani ya jengo la Triple A kiingilio kitakuwa ni shilingi
10000 tu usikose mdau njoo uone vitu vipya vya FM Academia
Katika usiku huo pia ndanda kosovo kichaa alikuja kumuunga mkono Jp mpiana alipata fursa ya kuimba wimbo mmoja pamoja
wacheza shoo wakiwa wamepumzika
wakiendelea kupata kinywaji cha K-Vant Gin kinachotengenezwa na kampuni
ya Megatreade iliyopo hapa hapa jijini Arusha
Waandishi wa habari nao hawakukosekana
picha ya juu ni mwandishi wa mwananchi kushoto moses mashala akipata
kinywaji huku akiendelea kuburudika chini ni wapiga picha wa Stax tv
wakiwa bize kikazi zaidi
washabiki wakiendelea kuserebuka
Meneja masoko wa kinywaji cha K-vant gin Godluck kway akielekeza kitu
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia