CHEKA AMPIGA BONDIA WA MALAWI ARUSHA

 

 wasanii wa nako 2 nako wakiwa wanaonyesha mambo yote yalikuwa maandalizi ya mechi ya ngumu ya kugombea ubigwa wa afrika uliofanyka katika kiwanja cha kumbukumbu ya sheikh amri abeid jijini hapa
kushoto ni bondea kutoka nchini malawi chimwemwe Chiotcha katika kati ni promota wa pambano hilo  Geoge Edwadw kulia ni mpiganaji maarufu Fransis Cheka wakiwa wanaonyesha mkanda watakao ugombania

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post