Ticker

6/recent/ticker-posts

TIMU YA ELIAS FC YAIFUNGA ROBERT FC MABAO 2-0 KATIKA MECHI ILIANDALIWA NA RADIO 5

 

 kikosi cha Elias FC
 kikosi cha robert FC
 wachezaji wa timu ya Elias Fc wakipasha kabla ya mechi kuanza
 Kikosi kizima cha timu ya Robert Fc wakiwa katika picha ya pamoja na muamuzi wa mechi hiyo
 wachezaji wa timu ya   Robert FC iliyovaa jezi za blue wakiwa wanawasalimu wachezaji wa timu ya Elias Fc zote zikiwa nitimu za wakurugenzi wa Radio 5 wakisalimiana kabla ya kuanza mechi ya fainali ya bonanza lililokuwa limeandaliwa na radio 5 kuanza katika kiwanja cha general tyre mechi ambayo timu ya Elias FC iliibuka kidedea  cha kufunga mabao 2-0
 Mmoja wa wachezaji wa  timu ya Robert Fc akiwa anachuliwa mguu mara baada ya kuumia wakati akicheza kinachofurahisha zaidi mchezaji huyu aliumia mara tu alipoingia kucheza mpira dakika tano hazikuisha ila mwishowe alirudi kusakata kabumbu
 kilichofurahisha zaidi hadi watangazaji wa kike walijitokeza kusakata kabumbu

 Wachezaji wa timu zote mbili wakibadilishana mawazo mara baada ya mechi kumalizika huku kila mmoja akijitapa kwa mwenzake kuwa mechi zijazo lazima watanyakuwa ubigwa

 Mara baada ya mchezo kumalizika wachezaji watimu ya elias FC waliamua kuunganika pamoja na wapinzani wao Robert FC na kupiga picha ya pamoja wakiwa na kombe pamoja na wakurugenziwa wao

Baadhi ya wachezaji wa timu  ya Elias Fc wakiwa katika picha ya pamoja na kombe lao mara baada ya kuibuka ushindi
wachezaji wa timu ya Elias Fc wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kushinda

Post a Comment

0 Comments