DIAMOND, DIMPOZ WAFANYA KUFURU USIKU WA X-MAS DAR LIVE
| Mtangazaji wa MTV Base na Choice FM, Vanessa Mdee akichombezana na Ommy Dimpoz wakati wakiimba wimbo wao wa Me & You stejini. |
---
Wasanii
mahiri wa muziki wa kizazi kipya nchini Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'
na Omary Nyembo 'Ommy Dimpoz' usiku wa kuamkia leo wameweka historia
kwa kufanya shoo ya aina yake ndani ya ukumbi wa kisasa wa Dar Live
uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.
Wasanii
hao walisindikizwa na mkali Juma Nature na kundi lake la Wanaume
Halisi, Msanii mkongwe Ally Baucha pamoja na Bendi ya Extra Bongo. Shoo
hii imeletwa kwenu kwa hisani kubwa ya Serengeti Premium Lager na
Vodacom - Wajanja wa Kujirusha.
(PICHA ZOTE : RICHARD BUKOS NA ISSA MNALLY / GPL)
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia