usikoseeeeeeeee ndani ya libeneke pub
Pia vinywaji vya kila aina vinapatikana ndani ya libeneke Pub
wadau wa habari wakiwa wanaendelea kupata kinywaji ndani ya libeneke Pub Iliyopo sakina Arusha
Ndani
ya Libeneke Pub utakutana na muziki laini ,rege ,ngwasuma pamoja na
miziki mingi mbalimbali pia kuna wapishi waliobobea kwa supu ya
makongoro mchemsho wa kuku mishikaki bila kusahau chips zilizoenda
shule wadau mnakaribishwa libeneke pub sakina jijini Arusha