RAIS KIKWETE A REJEA NCHINI BAADA YA KUHUDHURIA KIKAO CHA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI NAIROBI, KENYA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi wenzie wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki na washiriki mwishoni mwa kikao cha nne cha
Jumuiya nje ya Jengo la Mikutano wa Kimataifa la Jomo Kenyatta jijini
Nairobi, Kenya
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kijana Joel Adagson Mwigomole
kwa kuibuka mshindi wa pili wa kuandika Insha kwa wanafunzi wa nchi
wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa mkutano wa nne wa
Jumuiya hiyo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta
jijini Nairobi, Kenya. Joel ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika
shule ya sekondari ya Mzumbe, Morogoro.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki Rais Yoweri Museveni wa Uganda akimpongeza kijana Joel Adagson
Mwigomole kwa kuibuka mshindi wa pili wa kuandika Insha kwa wanafunzi
wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa mkutano wa
nne wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Jomo
Kenyatta jijini Nairobi, Kenya.Joel ni mwanafunzi wa kidato cha tatu
katika shule ya sekondari ya Mzumbe, Morogoro.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika
picha ya pamoja na viongozi wenzie wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na
washiriki mwishoni mwa kikao cha nne cha Jumuiya nje ya Jengo la
Mikutano wa Kimataifa la Jomo Kenyatta jijini Nairobi, Kenya.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa kwa heshima wakati anaondoka jijini Nairobi,







0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia