Pichani
ni mbunge wa viti maalum vijana(CCM) Catherine Magige akiwa na baadhi
ya vijana wakibadilishana mawazo kabla ya uzinduzi ulioenda sambamba na
sherehe ya uzinduzi wa Catherine Foundation kwenye viwanja vya ofisi ya
mkuu wa wilaya ya Arusha leo Asubuhi pamoja na kutoa msaada wa baskeli
kwa walemavu wa wilaya ya Arusha.
Mgeni
rasmi ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Arusha John Mongela Kisalimiana
na wageni mbali mbali wakati alipowasili kwenye uzinguzi wa Catherine
Foundation leo Asubuhi jijini Arusha
Mbunge
wa viti maalum Catherine Maggige akisomama taarifa ya Foundation yake
ilivyoanza kazi mbele ya mgeni rasmi mkuu wa wilaya na wananchi
waliohudhuria uzinduzi wa Catherine Foundation kwenye ofisi ya mkuu wa
wilaya ya Arusha leo Asubuhi
Hapa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya walemavu kupatiwa zawadi ya baskeli
Mkuu wa Wilaya ya Arusha akiongea na vyombo vy habari kulia ni david Rwenyagila wa Redio 5