RAIS ASALIMIANA NA MMOJA WA WAUZAJI WA KUBWA WA MADINI ARUSHA
pichani ni Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na
mmoja wa wauzaji wakubwa wa madini ya Tanzanite mkoani Arusha, Faisal
Juma Shahbhai mkurugenzi wa kampuni ya kuuza madini ya Maruti Green
Gems(T) Ltd.juzi wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la Jumuiya ya Afrika
Mashariki, kulia ni mfanyabiashara Kareem Dakik
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia