FM ACADEMIA WAWAPAGAWISHA WAKAZI WA MKOA WA ARUSHA KATIKA UKUMBI WA TRIPLE A JIJINI A-TOWN
wanenguaji
wa kike wa bendi ya FM Academia wakiwa wanafanya vitu katika onyesho
lao walilofanya katika ukumb wa blue flame jijini Arusha
waimbaji wa bendi ya FM Academia wakifanya mambo katika shoo yao jijn Arusha
mashabiki wakifurahia bendi yao huku wengine wakiwa wanasakata rumba
wanenguaji na waimbaji wakiwa kikazi zaidi






0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia