USA-RIVER YANYAKUA UBIGWA WA NASSARI CUP

 

 Mbunge wa jimbo la Arumeru magharibi Joshua Nasari akiongea na waandishi wa habari kabla ya kukabidhi kombe la Nassari super cup ambapo kilele cha ligi hiyo kimefika leo na timu ya Usariver Imenyakua ubigwa mara baada ya kuifunga Singisi  spoty klabu 2-1
kapteni wa timu ya Usariver spot Klabu akiwa anasherekea na mbunge wa Arumeru Magaribi  wakati mbunge huyo akitaka kumkabidhi kombe

 Golikipa wa timu ya usariver akiwa akishika kombe mara baada yakukabidhiwa nambunge

 wachezaji wa timu ya singisi waliovaa njano wakiangalia  timu ya singisi wakiangalia timu ya usa-river ikishangilia ubingwa

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia