CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO MKOANI ARUSHA TASWA CHAPATA VIONGOZI
waandishi wa habari wakiwa makini kusikiliza semina ya ukimwi iliyokuwa ikifundishwa na mkufunzi kutoka TUPO
Mbunge
wa viti maalumu Catherini Magige akiwa anamkabidhi katibu wa chama cha
waandishi wa habari wa michezo mkoani Arusha Mussa Juma dola za
kimarekani 200 kwa ajili ya soda za waandishi waliouthuria katika
mkutano huo
Mbunge
wa viti maalumu Catherin Magige akiwa anatoka katika kikao cha
waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano mkuu wa chama cha
waandishi wa habari wa michezo TASWA
Waandishi
wa habari wa mkoa wa Arusha wakiwa wanasikiliza kwa makini semina ya
ukimwi iliondaliwa iliokuwa ikifanyika jijini hapa





0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia