HIVI NDIVYO BUNGE FC ILIVYOIFUNGA SUNRISE MABAO 3-0
wachezaji wa timu ya bunge FC waliovaa
orange wakiwa wanacheza mechi ya kirafiki na timu ya Sunrise Radio
waliovaa blue mechi ambao Bunge FC ilishinda mabao 3-0
Wananachi kibao walijotokeza kushuhudia mechi hiyo iliyokuwa ikichezwa katika kiwanja cha sheikh amri abeid jijini hapa
waamuzi wakiwa wanatoka uwanjani mara baada ya mechi kuisha
mbunge wa korongwe ajulikanaye kama
maji mh.majimarefu aliyevaa orange akiongea na mtangazaji wa radio
sunrise ya jijini hapa mara baada ya mechi kumalizika na kufunga magoli
3-0
Mbunge wa kinondoni idi azzani katikati
akiwa na mkurugenzi wa radio Sunrise kushoto na kulia ni mkurugenzi
msadizi ambaye pia ni mtangazaji maarufu wa radio sunrise wakati
mungine anajiita goli kipa asiyefungika na akifungika ni hujuma za
waamuzi Dionis sikutegemea moyo
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia