Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wasimamizi na wafadhili wa mradi huo
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wawakilishi wa Kampuni ya simu za
mkononi ya Vodacom ambayo imechangia dola za Marekani 450,000 kwa
kipindi cha miaka mitatu ili kufanikisha mradi huo, ambao ulizinduliwa
rasmi mwezi Julai mwaka 2011. kushoto ni meneja wa mradi huo Bw.
Emmanuel Masenga wa Taasisi ya Utafiti wa wanyama pori (TA
Mbwa
mwitu hao 15 wakitoka katika hifadhin waliokuwa wamehifadhiwa kwa miezi
kadhaa kwenye boma hilo maalumu la mradi huo, lililojengwa katika eneo
la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, mkoani
Mara.PICHA NA IKULUWIRI).
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa TANAPA Jumapili Desemba 22, 2012
akikata utepe katika boma maalumu la kulea na kuhifadhi mbwa
mwitu kuashiria rasmi kuachiwa huru kundi la pili la wanyama hao 15
waliokuwa wamehifadhiwa kwa miezi kadhaa kwenye boma maalumu la mradi
huo, lililojengwa katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya
Taifa ya Serengeti, mkoani Mara.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa TANAPA Jumapili Desemba 22, 2012
wakiwa nje ya boma maalumu la kulea na kuhifadhi mbwa mwitu
akishuhudia kuachiwa huru kundi la pili la wanyama hao 15 waliokuwa
wamehifadhiwa kwa miezi kadhaa kwenye boma maalumu la mradi huo,
lililojengwa katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa ya
Serengeti, mkoani Mara.
Mbwa
mwitu wakirejea mbugani baada ya kuachiwa huru kundi la pili la wanyama
hao 15 waliokuwa wamehifadhiwa kwa miezi kadhaa kwenye boma maalumu la
mradi huo, lililojengwa katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi
ya Taifa ya Serengeti, mkoani Mara.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Bw. Joseph Kaboya, mhifadhi wa boma
maalumu la mradi huo katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya
Taifa ya Serengeti, mkoani Mara, kwa kufanikisha zoezi hilo kwa mara ya
pili. Kushoto ni meneja wa mradi huo Bw. Emmanuel Masenga wa Taasisi ya
Utafiti wa wanyama pori (TAWIRI).
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mkurugenzi Mkuu wa Tawiri, Dkt.
Simon Mduma (kushoto kwake) na meneja wa mradi huo Bw. Emmanuel Masenga
baada ya sherehe hizo eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa ya
Serengeti, mkoani Mara.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa TANAPA Jumapili Desemba 22, 2012
wakielekea kwenye sehemu ya boma maalumu la kulea na kuhifadhi mbwa
mwitu muda mfupi kabla ya kuachiwa huru kundi la pili la wanyama hao 15
waliokuwa wamehifadhiwa kwa miezi kadhaa kwenye boma maalumu la mradi
huo, lililojengwa katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya
Taifa ya Serengeti, mkoani Mara.
Wahifadhi
wakifungua wigo wa senyenge ili kuachia huru kundi la pili la mbwa
mwitu 15 waliokuwa wamehifadhiwa kwa miezi kadhaa kwenye boma hilo
maalumu la mradi huo, lililojengwa katika eneo la Nyamuma, Magharibi
mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, mkoani Mara.
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia