WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA NA JIRANI NA JIJI USIJIULIZE LEO WAPI PA KWENDA WAZEE WA GWASUMA LEO WAPO A-TOWN KWA AJILI YA KUWAPA BURUDANI
Bendi maarufu hapa nchini ya FM Academia wazee wa gwasuma leo watakuwepo ndani ya jiji la Arusha na watatoa burudani kwa wakazi wa mkoa huu katika ukumbi wa blue flame ulioko triple A mkoni Arusha
Mpaka sasa bendi hii imeshawasili na maandalizi yote yamekamilika kiingilio katika onyesho hilo nishilingi 10000 tu wengine wanaita wekundu mmoja tu wote mnakaribishwa timu nzima ya fm academia itakuwepo kuwatambulisha staili mbalimbali za bendi hiyo
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia