Picha ikionyesha ikonyesha maofisa wakuu 42 wenye vyeo vya meja hadi
kanali wa nchi za ukanda wa afrika mashariki EAC na nchi za jumuiya ya
maendeleo kusini mwa afrika SADC wakiwa katika picha ya pamoja na waziri
wa ulinzi pamoja na viongozi mbalimbali wa jeshi katika picha ya pamoja
mara baada ya kuhitimu mafunzo ya unadhimu katika chuo cha ukamanda na
unadhimu csc arusha

Bendi ya jeshi la kujenga taifa ikitumbuiza katika sherehe hizo
Wahitimu wa kiwa wanaimba wimbo wa taifa