kikosi cha timu ya bongo movie waliovaa njano wakiwa
katika picha ya pamoja kabla ya kuanza mechi kati yao na timu ya Arusha
movie ambapo katika mechi hiyo timu ya bongo movie iliweza kuibuka
kidedea marabaada ya kuifunga goli 1-0 mechi iliyochezwa katika kiwanja
cha kumbukumbu ya sheikh amri abeid jijini arusha
kikosi cha timu ya arusha movie waliovaa kijani kabla ya mechi kuanza
Mgeni
rasmi wa mechi hii ya kirafiki ya Arusha movie pamoja na wasanii wa
Bongo movie akiwa anawapa usia wachezaji kabla ya mechi kuanza
Msanii Ray akiwa anawapa mkono waamuzi wa mechi hiyo
wasanii wa bongo movie akiwepo Jackline wakiwa wanafatilia mechi kwa makini
wasanii wa Arusha movie wakifuatilia mechi
wasanii wa bongo movie wakiwa wanawafariji na kuwapa mawaidha wachezaji wao wakati wa mapunziko