Rais Kikwete aweka jiwe la Msingi Jengo la Kitega uchumi Mamlaka ya Ngorongoro
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikiwete akiweka jiwe la msingi katika jengo la
kitega uchumi linalomilikiwa na Mamlaka ya hifadhi ya Bonde la
Ngorongoro lililopo mjini Arusha jana jioni.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Uhifadhi ya Bonde la Ngorongoro
Balozi Mwanaidi Maajar akimkabidhi Rais Kikwete zawadi mbalimbali pamoja
na pasi ya kudumu ya kuingia katika hifadhi ya Ngorongoro muda mfupi
baada ya Rais Kuzindua ujenzi wa jengo la Kitega uchumi la Hifadhi hiyo
mjini Arusha