MICHUZI BLOG YAADHIMISHA MIAKA KUMI YA KUANZISHWA KWAKE


 Maadhimisho ya Miaka 10 ya uanzishwaji wa MICHUZI BLOG hapa nchini chini ya Mkurugezi wake Ankal  Muhidini Issa Michuzi iliyofanyika ofisini kwake jijini Dra es Salaam leo.
 Keki  ya maadhimisho ya miaka  1o ya MICHUZI BLOG ikiwa na keki zenye majina ya wafanyakazi wa MICHUZI MEDIA GROUP.
 Mr na Mrs Michuzi wakikata keki ya maadhimisho ya miaka 10,wakishuhudiwa na baadhi ya wafanyakazi wa MICHUZI MEDIA GROUP.
Mkurugezi wa MICHUZI MEDIA GROUP, Ankal  Muhidini Issa Michuzi akilishwa keki na mkewe  katika hafra fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
 Mkurugezi wa MICHUZI MEDIA GROUP, Ankal  Muhidini Issa Michuziakilmlisha keki mkewe.
Mkurugezi wa MICHUZI MEDIA GROUP, Ankal  Muhidini Issa Michuzi akimlisha keki Mtangazaji na muandaaji wa kipindi cha DANGA CHEE, Shamsa Dangandani ya Michuzi TV online katika hafla hiyo.
 Mkurugezi wa MICHUZI MEDIA GROUP, Ankal  Muhidini Issa Michuziaakiwalisha keki wafanyakazi wa MICHUZI BLOG jijini Dar es Salaam leo.
 Mpiga picha wa Michuzi Blog, Avila Kakingo akifungua shampeini katika hafra hiyo.
 Mpiga picha wa Michuzi Blog, Avila Kakingo akiwamiminia shampeini katika hafla hiyo.
 Wafanyakazi wa MICHUZI MEDIA  GROUP wakiwa na keki zao.
Baadhi ya wafanyakazi wa MICHUZI MEDIA  GROUP wakiwa katika picha ya pamoja.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post