Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli pamoja na
Mgombea Ubunge wa jimbo la Makambako Ndugu Deo Sanga wakiwaiambisha
wananchi wa Mafinga katika uwanja wa Polisi Mwembetogwa mkoani Iringa leo
Septemba 27 kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa
tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia
wananchi wa Mafinga katika uwanja wa Mafinga mkoani Iringa leo Septemba 27
kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
Mmoj wa Waangalizi wa Uchaguzi unaotarajiwa
kufanyika Oktoba 25 mwaka huu,akifuatilia mkutano wa kampeni wa Mgombea
Urais wa CCM Dkt Magufuli mjini Makambako jioni ya leo Septemba 27 mkoani
Iringa
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mufindi Kusini Ndugu Mahmoud
Mgimwa akipiga push up mbele ya wakazi wa Mafinga waliojitokeza kwa wingi
kwenye mkutano wa kampeni wa kumnadi mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John
Pombe Magufuli ambaye anashuhudia tukio hilo katika mkutano
uliofanyika kwenye viwanja vyaWambi mjini Mafinga mkoani Iringa na
kuhudhuriwa na umati mkubwa wa wananchi.
Dk. John Pombe Magufuli amewaambia wakazi hao
wasihadaike na maneno ya kisiasa yanayotolewa na vyama vingine kuwa nchi ya
Tanzania haijapiga hatua ikiwa chini ya utawala wa CCM wakati maendeleo
yanaonekana wazi na nchi inazidi kusonga mbele kwa mambo mengi ikiwemo
amani na utulivu wa nchi.
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli
akiwahutubia wakazi wa
Chimala,Mbarali mkoani Mbeya alipokuwa akielekea mkoani Iringa kuendelea na
kampeni zake.
gombea Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama
cha CCM Dkt John Pombe Magufuli akionesha hisia zake mara baada ya kuonana
uso kwa uso na Kada Mkongwe wa chama cha CCM Ndugu Samwel Malecela mjini
Mbarali kabla ya kuwahutubia wananchi kwenye mkutano wa
kampeni
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia
chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Kada Mkongwe wa
chama cha CCM Ndugu Samwel Malecela mjini Mbarali kabla ya kuwahutubia
wananchi kwenye mkutano wa kampeni,huku Mjumbe wa kamati kuu ya CCM
Ndugu Bulembo akifuatilia kwa makini
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli
akiwahutubia wananchi wa Rujewa mjini katika viwanja vya Barafu mjini
Rujewa,wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya leo Septemba 27 kwenye mkutano
hadhara wa kampeni.
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli
akiwahutubia wananchi wa Rujewa mjini wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya leo
Septemba 27 kwenye mkutano hadhara wa kampeni.
Mgombea Ubunge wa jimbo la Makambako Ndugu Deo Sanga
a.k.a Jah People akimuombea kura Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe
Magufuli kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika mjini Ilembula
leo Septemba 27 mkoni Mbeya
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli
akimnadi Mgombea Ubunge wa jimbo la Wanging'ombe Injinia Gerson
Rwenge,katika mji wa Ilembula
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasili
kwenye mjini Makambako kwenye uwanja wa Polisi Mwembetogwa mkoani Iringa
leo Septemba 27 kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
wakazi wa Makambako wakishangilia wakati Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akipanda jukwaani kwa kuruka
ruka kuonesha yuko fiti kuwatumikia wananchi kwa namna yoyote
ile.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa
Kamati Kuu CCM Taifa Ndugu Abdalah Bulembo akiwahutubia wakazi wa Makambako
kwenye mkutano wa kumnadi mgombea urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli leo
Septemba 27 mkoani Iringa
Dkt Magufuli akiwasalimia wananchi wa Makambako
kabla ya kuanza kuwahutubia na kuwaomba kura
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia
wananchi wa Makambako gombea Ubunge wa jimbo la Makambako Ndugu Deo Sanga
wakiwaimbisha wananchi wa Mafinga katika uwanja wa Polisi Mwembetogwa
mkoani Iringa leo Septemba 27 kwenye mkutano wa hadhara wa
kampeni.
Wananchi wa mji wa Makambako wakimsikiliza Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi
CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akimwaga sera zake na kuwaomba
wajitokeze kwa wingi siku ya kupiga kura Oktoba 27 kwa kumpiga kura ya ndio
na hatimae aibuke mshindi kwa nafasi ya Urais