Msafara wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan ukiwasili Gairo mkoani Morogoro. |
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kumpokea mgombea mwenza wa CCM, Bi. Suluhu alipowasili Mkoa wa Morogoro tayari kwa ziara ya kampeni. |
Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakimpokea mgombea mwenza wa CCM, Bi. Suluhu alipowasili katika mkutano mdogo wa kwanza kuinadi ilani ya CCM Jimbo la Gairo leo Morogoro. |

WanaCCM na wananchi wengine wakiwa katika mkutano wa kwanza wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Suluhu (hayupo pichani) katika Jimbo la Gairo. |
WanaCCM na wananchi wengine wakiwa katika mkutano wa kwanza wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Suluhu (hayupo pichani) katika Jimbo la Gairo. |
Mgombea ubunge wa Jimbo la Gairo, Ahmed Shabiby akizungumza na wanaCCM na wananchi waliofika katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza nafasi ya urais wa CCM. |
Mgombea ubunge wa Jimbo la Gairo, Ahmed Shabiby (kulia) akizungumza jambo na mgombea mwenza wa nafasi ya urais CCM, Bi. Suluhu katika mkutano wa kampeni Gairo. |
Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakimpokea mgombea mwenza wa CCM, Bi. Suluhu alipowasili katika mkutano mdogo wa kwanza kuinadi ilani ya CCM Jimbo la Gairo leo Morogoro. |
Mbunge wa Afrika Mashariki, Angela Kiziga akizungumza katika mkutano wa kampeni wa CCM uliofanyika Jimbo la Gairo. |
Baadhi ya vijana wakiwa wamepanda juu ya gari lililoegeswa ili kumuona mgombea mwenza wa CCM, alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni Gairo. |
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Nkenge, Asumpta Mshama akiwahutubia wanaCCM na wananchi wa Jimbo la Gairo Mkoani Morogoro. |
Baadhi ya wanachama wa CCM na wapenzi wa chama hicho wakimpokea mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu alipowasili katika Jimbo la Mvomero leo ambapo alifanya mkutano wa kampeni. |
Mgombea ubunge wa Jimbo la Gairo, Ahmed Shabiby akiwahutubia wanaCCM na wananchi wa Jimbo la Gairo Mkoani Morogoro. |
Baadhi ya wananchi wakiwa katika mkutano wa mgombea mwenza wa CCM, alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni Gairo. |
CCM Oyeeeeeeee....! Mkutano Jimboni Gairo. |
Wakereketwa na wanaCCM wakimpokea mgombea mwenza wa CCM Jimbo la Gairo. |
Wakereketwa na wanaCCM wakimpokea mgombea mwenza wa CCM Jimbo la Gairo. |
Bi. Samia Suluhu akiwa amesimamishwa na wananchi njiani alipokuwa akielekea Wilayani Kilosa kufanya mikutano ya kampeni. |
Kada mkongwe wa Chadema Kata ya Dumila, Tegemea Mnhambo akitangaza kukihama chama hicho na kujiunga na CCM katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa nafasi ya urais, Bi. Suluhu. |
WanaCCM na wananchi wakifuatilia mkutano wa kampeni juu ya gari lililoegeshwa. |
Wananchi na wapenzi wa CCM wakiwa wamemsimamisha mgombea mwenza wa CCM, Bi. Suluhu. |