Mo Lemon Mint imefika hadi Santorini, Greece! Umeifikisha wapi Mo soda yako kutoka hapo Dar? Tutumie picha yako 'smile emoticon' ikichaguliwa tutaiweka kwenye ukurasa wetu wa facebook.
Na Andrew Chale, modewjiblog
Kampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL GROUP), imeendelea kufanya vizuri sokoni kupitia upande wa vinywaji vyake mbalimbali vikiwemo: MO Cola, MO Portello na, MO Malt, MO Lemon Mint, MO chungwa na MO Bomba (Energy drink).
Kupitia ukurasa wa Facebook wa MeTL GROUP, (https://www.facebook.com/MeTLGroup) wamebainisha kuwa kampuni hiyo yenye kauli mbiu ya ‘The People’s Brand’, imeendelea kuwa karibu na wateja wao ilikuweza kushirikisha mawazo mbalimbali katika kufikia malengo ya kimaisha.
Mbali na kushirikishana mawazo hayo na wateja wao waliopo kwenye ukurusa huo maalum wa facebook, pia imeweza kutoa elimu na namna ya hatua za kufuatwa kwa watu ikiwemo mazoezi, vyakula vinavyofaa kuliwa na mambo mengine.
Pia kupitia ukurasa huo wa facebook, wateja wameombwa kutuma picha zao wakiwa na vinywaji kutoka MeTL GROUP, ikiwemo MO Bomba, MO Cola, MO Lemon Mint, MO Portello, Mo Embe, MO Chungwa nakisha kutuma katika ukurasa huo na 'Ku-SHARE'. Huku wakitakiwa kupiga picha na kinywaji hicho na kueleza mahala walipo!
Huwezi kujua ukiwezacho mpaka umejaribu #UsikateTamaa
Vitu vya kuzingatia na kuchukua unapoenda kufanya mazoezi ya viungo...mpango mzima na MO Bomba iwepo kukuongezea nguvu na kukuweka na nguvu zaidi..
Mchezaji bora wa Basketball MICHAEL JORDAN hakuchaguliwa kwenye timu ya basketball kwenye shule yake ya Sekondari kwasababu alikuwa mfupi kuliko wenzake. #UsikateTamaa