Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe
Shamsi Vuai Nahodha akisalimiana naViongozi wa CCM wa Mkoa wa Kusini Unguja
baada ya kuwasili katika viwanja vya mkutano wa hadhara wa kampeni ya
Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, uliofanyika viwanja vya
mpira bungi.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Balozi
Seif Ali Iddi akisalimiana na Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja
alipowasili katika viwanja vya mpira bungu kuhudhuria Mkutano wa Kampeni ya
Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein.
Wanachama wa CCM wakiingia katika viwanja
vya mkutano wa kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,
wakiwa na picha za Wagombea
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha
Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa
Kusini Unguja Ndg Ramadhan Abdalla alipowasili katika viwanja vya Bungu
kuendelea na Kampeni zake za kugombea Urais wa Zanzibar kupitia
CCM.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk
Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya mkutano Bungi akiwapungia
mkono Wananchi waliohudhuria mkutano huo wa Kampeni katika viwanja vya
mpira Bungi akiongozana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali
Vuai .
Mgombea Urais wa Zanzibar pia ni Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
akiwasili katika viwanja vya bungi kuaza kwa kampeni yake akiwa na Viongozi
wa CCM kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai na
kushoto Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ndg Ramadhan Abdalla,
wakielekea jukwaa kuu kwa ajili ya mkutano huo.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi
wakimsikiliza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed
Shein. uliofanyika katika viwanja vya bungi.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ndg
Ramadhan Abdalla akiwahutubia Wananchi wakati wa mkutano wa Kampeni ya
Mgombea Urais wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika
viwanja vya mpira Bungi Unguja.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi
wakishangia wakati wa Mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar
kupitia CCM uliofanyika katika viwanja vya Bungi Wilaya ya Kati
Unguja.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai
Ali Vuai akiwahutubia WanaCCM wa Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa Mkutano wa
Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM akisoma Ilani ya Uchaguzi
ya CCM ambayo ilivyotekelezwa kwa kiasi kikubwa katika miradi mbalimbali ya
maendeleo Zanzibar, na kuwataka Wananchi kumchagua Dk Shein kwa maendeleo
zaidi kwa Zanzibar na Wananchi wake.
Kada wa CCM Bi Amina Salum Ali akiwahutubia
Wananchi wakati wa mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia
CCM na kuwata kumpigia Kura ya Ndio Dk Ali Mohamed Shein, ili kuendelea
kuwaletea maendeleo.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe Shamsi
Vuai Nahodha akiwahutubia Wananchi wakati wa Mkutano wa Kampeni ya Urais wa
Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya mpira Bungi Wilaya ya
Kati Unguja.
Wanachama wa CCM wakishangia wakati wa
Mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar katika viwanja vya Bungi
Unguja.
Wanachama wa CCM wakimshangilia Mgombea wa
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein wakati akiwahutubia katika mkutano
wa kampeni uliofanyika viwanja vha mpira Bungi Wilaya ya Kati
Unguja.
Viongozi wa meza kuu wakimkaribisha Mgombea
wa CCM Dk Ali Mohamed Shein, akipanda jukwaani kwa ajili ya kuwahutubia
Wananchi katika mkutano wake wa Kampeni katika viwanja vya Bungi Wilaya ya
Kati Unguja
Wanachama wa CCM wakimshangilia Mgombea wa
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein wakati akipanda jukwaani kwa ajili
ya kuwahutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vha mpira
Bungi Wilaya ya Kati Unguja.
Viongozi wa meza kuu wakimkaribisha Mgombea
wa CCM Dk Ali Mohamed Shein, akipanda jukwaani kwa ajili ya kuwahutubia
Wananchi katika mkutano wake wa Kampeni katika viwanja vya Bungi Wilaya ya
Kati Unguja.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha
Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi na Wana CCM katika
mkutano wake wa Kampeni uliofanyika katika viwanja vya Mpira Bungu Wilaya
ya Kati Unguja na kuomba Kura kuendelea kuiongoza Zanzibar kwa Maendeleo
katika sekta mbalimbali za Kijamii na kuendeleza kukuza Uchumi wa Zanzibar.
Wanachama wa CCM wakimshangilia Mgombea wa
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein wakati akiwahutubia katika mkutano
wa kampeni uliofanyika viwanja vha mpira Bungi Wilaya ya Kati
Unguja.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar
wakifuatilia mkutano wa Mgombea Urais wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein, katika
viwanja vya bungi Wilaya ya Kati Unguja wakati akitangaza Sera za CCM
katika mkutano wake wa Kampeni Unguja.
Wagombea Uwakilishi katika Jimbo la
Kiembesamaki Mhe Mahmoud Thabit Kombo na Mgombea Uwakilishi Jimbo la Muyuni
Mhe Jaku Ismail wakifuailia mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar
kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Bungi Wilaya ya Kati
Unguja.
Kijana akitowa ishara kwa Wananchi wenye
ulemavu wa kutokusikia kwa alama ya Ishara wakati mgombea wa CCM Dk Ali
Mohamed Shein, akihutubiwa katika mkotano wake wa Kampeni katika viwanja
vya mpira Bungi Wilaya ya Kati Unguja.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakiwa
katika viwanja vya mpira Bungi wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dk Ali
Mohamed Shein, akiwahutubia na kutangaza Sera za CCM katika kipindi kijacho
cha Uongozi wake kuendelea Maendeleo kwa Wananchi wa Zanzibar katika Sekta
mbalimbali Zanzibar.
Taswira katika viwanja vya mkutano wa
Kampeni ya Mgombea Urais kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein viwanja vya Bungi
Wilaya ya Kati Unguja, mwananchi huyu akifuatilia Sera za CCM wakati
Mgombea akiwahutubia.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi
wakimshangilia Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, wakati
akihutubiwa Wananchi katika Mkutano wake wa Kampeni uliofanyika katika
viwanja vya mpira Bungi Unguja.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha
Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wananchi Wanachama wa CCM
baada ya kumaliza kwa mkutano wake wa Kampeni ya Kugombea Urais wa Zanzibar
uliofanyika katika viwanja vya mpira Bungi miembe mingi Wilaya ya Kati
Unguja Mkoa wa Kasini Unguja.