wadau wa muziki wa dansi mjini kahama wakiinua vitambaa vyeupe katika kile kibao
maarufu cha mzee King Kiki 'Nainua kitambaa cheupe,ishara ya mapenzi"
Dj Lami,[shoto]dj maarufu katika mji wa kahama akishuhudia muziki wa dansi kabla ajaingia mzigoni kwa upande wa disko ndani ya ukumbi wa Dimporse ambao unasehemu mbili za dansi na disko kulia ni msaidizi wake ambaye pia ni mtangazaji wa Kahama Fm,alan
mhe lembeli akisakata rhumba na mwanahabari mwenzake ambaye ni mwandishi
mwandamizi Richard Mwangulune au Bob Rich katika ukumbi wa Dimporse mjini kahama
Mbunge wa Kahama Mhe James Lembeli akifanya vitu vyake katika ukumbi wa Dimporse
club mjini kahama sanjari na Vijana machachali wa bendi ya Nesta ambayo inapiga
zaidi muziki wa kopi
Picha zote na mdau wa Libeneke la kaskazini Novatus Makunga
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia