aya na kadi zao leo twazitupa kabisaa tumezinduka
mwenyekiti baraza la vijana taifa (BAVICHA) John Heche akiwa anawahutubia wananchi wa mkoa wa arusha katika mkutano uliobebwa kwa jina la vua gamba vaa gwanda |
mwenyekiti na kadi zao hizi hapa leo nazitupa nipe ya chadema baba |
Milya akiongea na wananchi
sio kwenye gwasuma tu bwana atachadema nimewaona |
Kamanda wa anga ambaye pia ni mwenyekiti wa taifa Chadema freeman Mbowe akiongea na wananchi
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia