Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wanahabari wakati wa kutangaza Baraza la Mawaziri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, muda mchache uliopita ametangaza Baraza jipya la Mawaziri na kumteu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -Mahusiano na Uratibu, Stephen M. Wasira. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -Utawala Bora, George Mkuchika Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- UTUMISHI, Celina Kombani Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais –MUUNGANO, Samia H. Suluhu. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais –MAZINGIRA Dr. Terezya P.L. Huvisa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Uwekezaji na Uwezeshaji- Mary M. Nagu. Waziri wa Nchi
Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI, Hawa Ghasia. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -Sera, Uratibu na Bunge, William V. Lukuvi. Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel J. Sitta. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha. Waziri wa Ujenzi , Dr. John P. Magufuli. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dr. Hussein A.H. Mwinyi. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dr. Shukuru J. Kawambwa. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia M. Simba. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard K. Membe. Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias M. Chikawe.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dr Emmanuel Nchimbi. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr. David M. David. Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia M. Kabaka. Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame M. Mbarawa. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna K. Tibaijuka. Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe. Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum, Prof. Mark Mwandosya. Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chiza. Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison Mwakyembe.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dr. Fenella E. Mukangara. Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamis Kagasheki. Waziri wa Viwanda na Biashara, Dr. Abdallah O. Kigoda. Waziri wa Fedha , Dr. William Mgimwa. Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo. Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais, Charles Kitwanga. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Majaliwa K. Majaliwa. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Aggrey Mwanry Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dr. Makongoro M. Mahanga. Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Adam Malima. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira A. Silima Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Gregory G. Teu. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Benedict N. Ole-Nangoro.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mahadhi J. Maalim. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck J. Ole-Medeye. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy A. Mwalimu. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo A. Mulugo.
Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Abdulla Juma Abdulla. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. Naibu Waziri wa Ujenzi Gerson Lwenge, Mb., Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dr. Seif Suleiman Rashid. Naibu Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene. Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba. Naibu Waziri wa Uchukuzi Dr. Charles J. Tizeba. Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makala. Naibu Waziri wa Maji, Eng. Dr. Binilith Mahenge.
Naibu Waziri Nishati na Madini, Stephen Maselle. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angela Jasmine Kairuki. Naibu Waziri wa Fedha, Janet Mbene. Naibu Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum
Kwa upande wa wazari sita waliomwagwa ni
Wizara ya Maliasili na Utalii Ezekiel Maige Wizara ya Fedha na Uchumi, Mustapha Mkulo Wizara ya Viwanda na Biashara Dr. Cyril Chami Wizara ya Uchukuzi Omari Nundu Wizara ya Nishati na Madini William Mganga Ngeleja Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dr. Haji Hussein Mponda
pamoja na
Kwa upande wa wazari sita waliomwagwa ni
Wizara ya Maliasili na Utalii Ezekiel Maige Wizara ya Fedha na Uchumi, Mustapha Mkulo Wizara ya Viwanda na Biashara Dr. Cyril Chami Wizara ya Uchukuzi Omari Nundu Wizara ya Nishati na Madini William Mganga Ngeleja Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dr. Haji Hussein Mponda
pamoja na
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia