Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM mkoani Arusha Ally Bbananga akitangaza kukihama chama
hicho na kujinga na Chama Cha Demokrasia na Mandeleo (CHADEMA) leo kwenye hoteli
ya kitalii ya Kibo palace , Kushoto aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini, Godbless
lema Kulia Katibu wa Chadema mkoa wa Kinondoni, Hendry Kilewo