WAZIRI MKUU AFUNGUA KIKAO CHA WAKUU WA WILAYA NA MIKOA KINACHOENDELEA DODOMA

 Waziri Mkuu,. Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia (kushoto) na Waziri wa Zamani na mwanasiasa mkongwe, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Kikao cha Wakuu wa Mikoa na Wilaya pamoja na Makatibu Tawala wa Mikoa kwenye Kituo cha mikutano cha St. Gaspar Mjini Dodoma
  Baadhi ya washiriki wa Semina ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya pamoja  na Makatibu Tawala wa Mikoa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua kikao chao  kwenye Kituo cha Mikutano cha St. Gaspar Mjini Dodoma

 Baadhi ya washiriki wa Semina ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya pamoja  na Makatibu Tawala wa Mikoa wakimsikiliza
Waziri wa zamani na Mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru akitoa mada katika Kikao cha Wakuu wa Mikoa na Wilaya  na  Makatibu Tawala wa Mikoa kwenye Kituo cha Mikutano cha St.Gaspar Mjini Dodoma

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia