WAKUU WA WILAYA KILIMANJARO WAAPISHWA

Wakuu wa wilaya za mkoa wa Kilimanjaro wakiwa wameketi mara baada ya kula kiapo
 Dr,Ibrahimu Msengi akila kiapo cha kuwa Dc Wa Moshi



 Aliyekuwa mwandishi waa habari wa Radio one na ITV Novatus Makunga akiwa na wanahabari wenzake wa mkoa wa kilimanaro na Arusha mara baada ya kuapishwa kuwa mkuu wa wilaya ya hai
Muheshimiwa Novatus  Makunga akiwa anakula kiapo cha uamini katika kipindi chake cha ukuu wa wilaya ya hai

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia