KINGEREZA TIKETI YA WASANII WA BONGO KUINGIA TUSKER PROJECT FLAME


Producer Defxtro akiwa na Jaji mwenzake ndani ya Tusker Project Fame Arusha
Majaji wa tusker

Mpaka kuwa judge wa TPF5 auditions ni recommendation ya HERMY B wa B-Hitz kwa project manager wa TPF5..Ikiwa ni mara yangu ya pili kuwa judge wa music contest, mara ya kwanza ikiwa ni katika "Serengeti Fiesta Freestyle" ya Arusha zone ilofanyika "mawingu club Arusha, nikisaidiana na judge mwenzangu,hip hop Legendary Fid Q" akapatikana mshindi "Tash Tashnificent wa chapia" na second runner up "VeeJay wa Kimuziki Zaidi".


Nimejifunza kwamba Tanzania tunaweza sana muziki, changamoto kubwa inayotukabili ni tabaka la idadi ya wasanii wanaozungumza lugha ya kiingereza kwa ufasaha. Kenya wana idadi ndogo ya Music Artists lakini wenye mafanikio na mikataba mikubwa na makampuni tofauti. Tanzania wasanii wetu ni wengi sana na wengi wao hawana mikataba wala endorsements za kufanya wajiendeleze kimaisha.Tofauti inakuja kuwa Kenyan artists wapo wachache na wote wanamaintain status kwa miaka nenda rudi because ufanisi wao wa mawasiliano kwa kiingereza kunageuka "ticket" ya kufanya ziara nyingi zaidi nje ya nyumbani kuliko ndani, hivyo kubaki RELEVANT over TIME.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post